Jiunge na mviringo wa blogu KBW

English version of this page



Mwongozo

Huu ndio ukurasa wa kujiandikisha kwenye mviringo wa blogu za kenya. Kwa maelezo zaidi tazama kwenye KBW na uangalie kuhusu miviringo ya mtandao kwa ujumla. Pia tazama maelezo yetu kuhusu miviringo ya mtandao.

KBW ni mviringo wa mtandao kwa wanablogu si mviringo wa tovuti za kawaida - kama tovuti yako haina blogu basi usiisajili kwani haitakubaliwa.

Kusajili blogu ndio sehemu ya kwanza , kukamilisha usajili wako ni LAZIMA uweke msimbo wa mviringo kwenye tovuti yako - ukitaka usaidizi zaidi tafadhali tuandikie.

Ukitayarisha msimbo huo vyema basi utapata kitu kami hiki:


<< # Kenyan Blogs ? >>

Hakuna wasi ukichezea msimbo huu ili ukae vyema kwenye ukurasa wako kwa kubadili rangi au kimo lakini mpaka vipengele vyake vyote vifanye kazi vyema. Jina katikati ya msimbo ni lazima libaki “Kenya Blogs” au liwe “Kenyan” jina lolote jingine halitakubaliwa.

Msimbo wa mviringo ni lazima ukae kwenye tovuti yako pale unaweza kuonekana vyema na kwa urahisi, ukitoa msimbo ama kukiuka maagizo haya basi utatolewa kwenye mviringo.

Ni hivyo tu - Jiandikishe!

Msimbo

:

:

:

:

:

:

Kisheria haturuhusiwa kusajili mtu wa miaka chini ya kumi na nne kwa hiyo tunakuomba uwache mwaka wako wa kuzaliwa. Kama hujatimu miaka 14 basi huwezi kuwa mwanachama. Tazama maelezoya Ringsurf kama una maswali yotote kuhusu maswala haya.





(Tawanyisha na nafasi)