SIMON KITURURU- MAWAZONI

  • NORTH MARA GOLD MINE!

    Posted: February 29, 2012, 7:40 pm by SIMON KITURURU
    Nimesikitishwa na hii kitu!:-(Samahani CHACHA kwa kuiweka hapa bila kukuomba!Madhumuni yangu ni kutawanya tu hii HABARI ili izidi kujulikana!







    Source: CHACHA
    Greetings from North Mara in Tarime.

    I wish to share with you some photos of the current situation in North Mara. Rev. Magafu and I have been assessing and identifying the victims of the last year’s and ongoing waste ponds spillage at North Mara gold mine.

    New cases of the victims are coming up with symptoms that are vivid and the situation is alarming. Two cases, though, needs immediate medical attention and action. This involves Mama Otaigo from Weigita village and Paul (8 year old boy) from Nkerege village.

    The situation we have found them in is far different from when we met them during the health screening done in January 7th 2010. Their health state is deteriorating from day to day. I am attaching their current photos for your review.

    As the governments still remains silent on this matter attempts to get referral letters from government health facilities have proved abortive and therefore we need to act as soon as possible to save the lives of those who are critically ill.

    An appeal is made to all of you to act in your different capacities.

    Kind regards,
    Chacha
  • Yasemekana ADUI MKUBWA wa MAVI ni MAVI!

    Posted: February 29, 2012, 7:05 pm by SIMON KITURURU
    Na adui mkubwa WAKO,........ yasemekana ni WEWE mwenyewe!:-(
    Swali:
    • Si yasemekana ni WEWE  MWENYEWE ndiye UJUAYE zaidi ya muhimu kwa  WEWE na kiutekelezaji labda bado uyapayo UMUHIMU/KIPAUMBELE  sio yako bali ya WALE wengine au angalau yale ambayo yana jicho la WASIO WEWE?

    Ndio,....... katika YAKO,.........SHUGHULI ni yako hasa kwa kuwa ni WEWE mwenyewe ujuaye vizuri unasikiliziaje UTAMU,....... au hata UCHUNGU.:-(

    Ni wazo tu hili MHESHIMIWA na wala USIKONDE ghafla!:-(

    Hebu Ali Farka Toure na Toumani Diabate waanzishe upya kwa - Sabu Yerkoy



    Au tu Pape Diouf azime kwa-Casse Casse
  • Wakati TUPO tusubiriao MELI kwenye uwanja wa NDEGE!

    Posted: February 28, 2012, 4:35 pm by SIMON KITURURU
    Ndio,..
    ... kuna tuyasubiriayo KUSIKO,...
    .....halafu tunashangaa TUYASUBIRIAYO yasipojitokeza  huku tukijishaua kuwa tumeyahangaikia.
    Swali:
    • Na si kama umsubiriaye anakuja na basi la ARUSHA hata umsubiri vipi kwenye basi la MTWARA yawezekana ni kujipotezea tu MUDA?
    • Na kama utumiacho ni unga wa MAHINDI labda basi si usitegemee upikacho kitageuka UBWABWA?

    Ndio,...
    .... LABDA maishani,....
    .... wengi ya NDEGE  hatuyasubirii uwanja wa ndege,...
    .... na ingawa tunayahangaikia ila bado mahangaiko yetu tunakosea pakuyalenga na bila kustukia tunasubiria ya NDEGE  bandarini na ya MELI kule uwanja wa NDEGE na hapo ni kama kabisaa sio kwenye kituo cha daladala MOROGORO ambako hata BANDARI hakuna!:-(
    Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!





    Hebu Hugo Nyame arudie - Pardon Madame


    Au tu Majoie Ayi azime kwa - Aicha

  • KIDONDA eti ni nyumba ya USAHA!

    Posted: February 28, 2012, 4:30 pm by SIMON KITURURU
    Na ukichokonoa KIDONDA,........ waweza kutumbua usaha AMBAO kwa kawaida  usingeonekana!
    Swali:
    • Si NI KWELI mambo mengine  labda usiyachimbe  undani basi kama hutaki kujua ubaya wake?

    Ndio,....... labda vipele vingine viache tu vikauke vyenyewe,....... ukivibinyabinya utafurumua volkano za usaha ambao usingebinya ungekaukia mumo kwa mumo!
    Ni neno tu na WAZO kiaina MHESHIMIWA!
    Siku NJEMA MKUU!

    Hebu MBILIA BEL na TABU LEY wakukumbushe  -SHAURI ZAKO




    Au tu TONTO IRIE aingilie kati na kuzima tena kwa -IT a RING










    Nipo,..... ndio ni TALLIN , Estonia.




















  • MAZINGIRA huchagulia watu POMBE!

    Posted: February 27, 2012, 6:19 pm by SIMON KITURURU
    Mazingira yana laana zake,...
    ..... na MTU atokeaye katika mazingira ya wapika GONGO ni rahisi kujikuta kaonja GONGO.
    Swali:
    • Si unajua MAZINGIRA yakiruhusu kuna WASIOJUA ambao WANGEJUA kwa kuwa tu MAZINGIRA watokayo ni SHULE tosha?
    • Na si unajua MAZINGIRA mara kibao huchagulia mpaka watu DINI?

    Ndio,........MAZINGIRA yangeruhusu,....... labda WANYWA GONGO wangekuwa wanakunywa tu BIA.:-(
    Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!
    Jumatatu njema MKUU!


    Hebu YAMI BOLO aingilie kati kwa-Cool IT Down



    Tenor Saw arudie-FEVER



    Halafu tu TOM JONES abadili kabisa mchezo kwa-Sex BOMB
  • Je, una kijana ambaye yuko jobless? NARCO tuna ajira yake

    Posted: February 25, 2012, 3:25 pm by SIMON KITURURU
    NAFASI ZA KAZI ZA WAKALA MAUZO “SALES AGENTS”


    “Kongwa Beef” ni Nyama yenye Ubora wa Kimataifa inayozalishwa na
    NARCO, Kampuni ya Ranchi za Taifa Limited ambayo hivi sasa inafanya
    maboresho ya namna ya kuwafikia wateja wake wa nyama ya “Kongwa Beef”.
    Ili kuhakikisha tunawapatia wateja wetu huduma zinazozidi matarajio
    yao, tumeamua kutoa nafasi 200 za Wakala Mauzo “Sales Agents” kwa
    vijana wa kike na wa kiume wa miaka 18-30. Hii ni fursa muhimu sana
    kwa vijana wote wenye uzoefu au wanaopenda kujenga uzoefu na kufanya
    kazi katika upande wa Masoko na Ujasiriamali.

    Kama unashauku ya kupata nafasi ya kutafuta oda za “Kongwa Beef”
    kutoka kwa wateja, basi hii ni nafasi yako.


    MAJUKUMU YA WAKALA MAUZO WA “KONGWA BEEF”

     Kutangaza Ubora wa Kongwa Beef na kutafuta oda kutoka kwa wateja
    kwenye maofisi, mahoteli, na taasisi mbalimbali.
     Kugawa vipeperushi na kushawishi wateja kununua “Kongwa Beef”.
     Kukusanya na kutunza kumbukumbu za wateja na mauzo
     Kuelimisha wateja wajue Ubora wa Kongwa Beef


    MALIPO NA FAIDA UTAKAZOPATA


     Utalipwa kwa kila kilo moja ya nyama utayoleta oda na kuhakikisha
    imemfikia mteja kupitia wasambazaji wetu.
     Kadiri utakavyoleta oda nyingi zaidi na kuhudumia wateja vizuri
    zaidi ndivyo utakavyopata kipato ki-kubwa zaidi.
     Utakutana na mazingira mazuri ya kufanyia kazi na kupata changamoto
    za kujiendeleza kitaaluma na kimapato.
     Utapata mafunzo ya masoko, biashara na ujasiriamali ili kukuwezesha
    kufanya kazi kwa ufanisi zaidi.
     Vyeti vya heshima na vya mafunzo vitatolewa
     Utapata fursa ya kuendeleza ujuzi na taaluma yako katika fani za
    biashara,ujasiriamali na masoko.


    TAALUMA NA UZOEFU UNAOHITAJIKA


    Mwombaji:-
     Awe na uwezo mkubwa wa kutoa huduma inayozidi matarajio ya wateja.
     Awe na uwezo wa kujieleza vizuri kwa Kiswahili.
     Uwezo wa kuongea Kiingereza kwa ufasaha itakua ni sifa ya nyongeza
     Awe mwenye shauku ya kuuza sana.
     Uwe na uwezo wa kuandaa na kutunza kumbukumbu za wateja na taarifa
    za Mauzo na Masoko.
     Awe Mbunifu na Anayependa Kujiendeleza


    NAMNA YA KUTUMA MAOMBI


     Andika barua kwa mkono bila kuchapisha na uambatanishe “CV” yako
    pamoja na barua kutoka kwa wadhamini watatu (3) mmoja kati yao awe
    mzazi au mlezi wako. Barua ziwe na namba za simu za wadhamini
     Ambatanisha namba za simu na anuani ya barua pepe kama unayo.
     Ambatanisha barua kutoka kwa Serikali za Mitaa iliyogongwa Muhuri
    na yenye picha yako.

    Maombi yote yatumwe kwa:
    Meneja Mkuu,Kampuni ya Ranchi za Taifa Ltd (NARCO),Mavuno House, Azikiwe Street,S.L.P 9113,Dar es Salaam.
    Simu : +255 22 211 0393/211 1956
    Barua Pepe: info@narco.co.tz
    Tovuti: [www.narco.co.tz]

    Tuma maombi yako kwa kuleta mwenyewe ofisini au kwa Posta. Kila
    tutakapopokea maombi tutayafanyia kazi mara moja.

    *********Wahi Wateja Wanatusubiri Tuwahudumie**********


    Regards,

    Immanuel Barikiel Mnzava
    Marketing Manager
    National Ranching Company Ltd (NARCO)
    Mavuno House, Azikiwe street
    P.O. Box 9113
    Dar Es Salaam
    United Republic of Tanzania
    Tel +255 22 211 0393
    +255 22 211 1956
    Fax +255 22 211 1956
    Mob +255 753002035
    +255 715831241
    +255 787831241
    Web: [www.narco.co.tz]
  • Maswala ya INJINI kiuno!

    Posted: February 25, 2012, 10:18 am by SIMON KITURURU
    Katika mwendo,...INJINI ni KIUNO,...Miguu ni matairi tu.

    Hata katika ndoa ukiondoa kichwa,...INJINI ni KIUNO,...Hata sehemu za siri ni pembejeo tu.
    Na katika AFYA,...INJINI ni KIUNO,...Ukikitumia wenye magari kiafya kwao ghali tu.

    Ndio ,..... kata kiuno ukiweza.Kiuchumi bei nafuu,...Kiafya  bomba kama KIUNO  chakusaidia kutembea au hata kuendesha baiskeli,...Na kikusikilizia utamu nengua,...
      Kwenye mziki  , katika  katika hata KATIKA  uasherati katika.
    INJINI KIUNO BOMBA!Swali:
    • AU?
    JUMAMOSI NJEMA MHESHIMIWA!









    Hebu Lou Bega aanzishe tena kwa - Just a Gigolo (I Ain't Got Nobody)



    Lou Bega aendeleze kwa -Gentleman

    Lou Bega aongezee -Trumpet



    Au Lou Bega azime kwa-Mambo No 5
  • TAARIFA KWA UMMA KUHUSU DAWA BANDIA YA MALARIA

    Posted: February 24, 2012, 6:03 pm by SIMON KITURURU
    TAARIFA KWA UMMA
    TAARIFA KUHUSU UWEPO WA DAWA BANDIA YA KUTIBU UGONJWA WA MALARIA IITWAYO ELOQUINE (Quinine Sulphate 300mg USP)


    Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) ni wakala wa Serikali iliyo chini ya Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii yenye jukumu la kudhibiti ubora, ufanisi na usalama wa vyakula, dawa, vipodozi na vifaa tiba ili kulinda afya ya jamii.

    TFDA inapenda kuutaarifu umma kuwa imebaini kuwepo kwa dawa bandia ya kutibu ugonjwa wa Malaria katika soko. Dawa hiyo inaitwa Eloquine (Quinine Sulphate 300mg U.S.P) na ipo katika makopo ya vidonge 1000 (elfu moja) kila moja. Maelezo yaliyopo katika lebo yanaonesha kuwa dawa hiyo imetengenezwa na kiwanda cha Elys Chemical Industries Ltd cha nchini Kenya.

    Hata hivyo, TFDA imebaini kuwa kiwanda cha Elys Chemical Industries Ltd hakitengenezi dawa yenye jina la biashara la ‘ELOQUINE’. Kiwanda hicho kimesajili Tanzania Quinine Sulphate 300mg B.P isiyo na jina la kibiashara. Aidha, kiwanda cha Elys Chemical Industries Ltd kimebainisha tofauti mbalimbali zilizopo katika lebo ya dawa bandia ikilinganishwa na dawa halisi inayotengenezwa na kiwanda hicho iliyosajiliwa na TFDA na hivyo kuthibitisha kuwa kiwanda hicho hakitengenezi dawa hiyo.

    Katika kudhibiti usambazaji wa dawa hiyo hapa nchini, hadi sasa TFDA imekamata jumla ya makopo 155 ya dawa hiyo bandia ya Eloquine jijini Dar Es Salaam yaliyokuwa yakisubiri kusambazwa. Aidha, kopo moja lenye vidonge 115 limekamatwa Moshi, Kilimanjaro. Tayari mtuhumiwa mmoja amekwishafikishwa mahakamani na upelelezi wa chanzo na wasambazaji wa dawa hii unaendelea kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi.

    Uchunguzi wa dawa bandia katika maabara umebaini kuwa vidonge hivyo havina kiambato hai (active ingredient) cha Quinine Sulphate kwa ajili ya kutibu ugonjwa wa Malaria na hivyo matumizi yake ni hatari kwa afya ya binadamu.

    Maelezo ya kina yanayotofautisha dawa halisi iliyosajiliwa na dawa bandia ni kama yalivyoainishwa katika jedwali hapa chini.













    Dawa halisi iliyosajiliwaMaelezo ya dawa bandia
    · Jina la dawa: Quinine Sulphate 300mg B.P

    · Jina la biashara: Haina jina la biashara

    · Mtengenezaji: Elys Chemical Industries Ltd, Road B, Off Enterprise Road, P.O Box 40411, 00100 Nairobi, Kenya

    · Rangi ya Lebo: Nyeupe na kahawia (Brown)

    · Namba ya toleo: Huanzia na namba na siyo herufi. Kwa mfano: 2167E



    · Muda wa matumizi (Shelf life): Miaka 4· Jina la dawa: Quinine Sulphate 300mg U.S.P

    · Jina la biashara: ELOQUINE


    · Mtengenezaji: Elys Chemical Industries Ltd, Road B, Off Enterpises Road, P.O Box 4011 00100 Nairobi, Kenya

    · Rangi la Lebo: Njano na Nyekundu


    · Namba ya toleo: GE410


    · Tarehe ya kutengenezwa: 04/2009


    · Tarehe ya mwisho wa matumizi: 4/2014 (Miaka 5)



    Wafanyabiashara wote wa dawa na wananchi wanatahadharishwa kutozitumia dawa hizi na wale wote waliouziwa dawa hizi wanaelekezwa kuzirudisha dawa hizo katika ofisi za TFDA, vituo vya afya vya Serikali au vituo vya polisi vilivyo jirani nao.

    TFDA inapenda pia kuwakumbusha wafanyabiashara wa dawa, wasafirishaji wa vifurushi na wananchi kutoa taarifa haraka iwezekanavyo pale wanapohisi kuuziwa dawa duni, bandia au zilizoisha muda wa matumizi. Taarifa zitolewe ofisi za TFDA makao makuu zilizopo Barabara ya Mandela, EPI Mabibo External, Dar es Salaam na Ofisi za Kanda zilizopo mtaa wa Nkurumah, Mwanza, Mtaa wa Sakina – Arusha, Hosptali ya mkoa ya Dodoma na Jengo la Ofisi ya Mifugo Mkoa wa Mbeya.

    Kwa maelezo zaidi tafadhali wasiliana na:-

    MKURUGENZI MKUU
    MAMLAKA YA CHAKULA NA DAWA
    EPI MABIBO EXTERNAL,
    S.L.P 77150, DAR ES SALAAM
    Simu: + 255 222 450512/450751/452108
    Nukushi: + 255 222 450793
    Barua pepe: info@tfda.or.tz

    Tovuti: [www.tfda.or.tz]
  • CHANZO cha wazo lilelile BAYA ikiwa ni RAIS NYERERE na sio MCHUNGAJI MTIKILA,....

    Posted: February 24, 2012, 10:18 am by SIMON KITURURU
    ....LABDA kuna watakao LIHESHIMU  ,....... kwa kuwa TU wanaheshimu na wana IMANI  na CHANZO cha WAZO!
    Swali:
    • Si unajua CHANZO cha WAZO kina nguvu zake pia kwa wafuatiliao WAZO hata hasa katika kuaminisha watu kirahisi hata UJINGA?
    • Kwa wakristo si CHANZO kikiitwa ni BIBLIA kama kwa WAISLAMU wakisikia chanzo ni KORANI si kirahisi wanaweza amini jambo hata ambalo kitafsiri labda kimekosewa ila CHANZO cha fanya jambo lipewe TU shavu kiaina?

    Ndio,....... labda hata MIMI na WEWE,....... kuna tuaminiyo KIRAHISI kwa kuwa tu tunaamini CHANZO cha WAZO,....... ingawa WAZO lenyewe ukweli wenyewe ni POTOFU.:-(

    NI wazo tu hili MHESHIMIWA!
    Ijumaa NJEMA MKUU!

    Hebu KY-MANI  Marley na PRAS warudie- Avenues




    Inner Circle wazime kwa -Discipline Child

  • Katika kukumbushana ya KABUMBU la Uingereza....

    Posted: February 24, 2012, 10:00 am by SIMON KITURURU
    .... hebu CLYDE BEST aongee....




    Hebu tupunguze makali kwa msaada wa YAMI BOLO enzi hizo -Wadat 1984
  • Ukifananisha labda MIHOGO, mahindi, Mchele na MAGIMBI vyote ni SAWASAWA!

    Posted: February 23, 2012, 4:03 pm by SIMON KITURURU
    Kuna vilivyo SAWA,...
    ....ambavyo sio SAWASAWA!:-(

    Ingawa ukitofautisha,.........labda CHIPSI DUME wala sio CHIPSI MAYAI yenye maringo ya viazi,....... na ndio maana kwa chai unapendelea CHAI kwa MAGIMBI ya kuchemsha!:-(
    Swali:
    • SI umestukia  ukifananisha unaweza kustukia ni mengi tu kazi zake ni zilezile tu ila ni LADHA tu ifanyayo watu wapendelee MWIDU kuliko MLENDA?
    • Na ukifananisha si BINADAMU wote ni SAWA halafu ukianzakutofautisha ndio utastukia kuwa ingawa ni sawa ila sio SAWASAWA?

    Ndio,....... labda MENGI maishani ni tofauti,...... kwa kuwa tu sie BINADAMU tunayatafutia tofauti KIUTAMU , muonekano, UHABA au tu KIUBISHORORO wa statasi zake katika JAMII!

    Ingawa labda kama una UNGA wa MUHOGO,...
    ..... labda wala huhitaji MCHELE au unga wa SEMBE!
    Ni wazo tu hili MHESHIMIWA...
    ........ na kutolielewa RUKSA!
    Siku njema MWANAKWETU!

    Hebu New Edition waingilie kati kwa-Cool it Now



    Hebu katika kundi la NEW EDITION tubaki na BOBBY BROWN aiyewahi kuwa mume wa Whitney Houston katika kipele-Don't be CRUEL

    Halafu sijui kwanini hebu AFRIKA BAMBAATA wakija na UB 40 wazime kwa-Reckless
  • Poleni wana SONGEA kwa yaliyotokea kwenye MAANDAMANO!

    Posted: February 22, 2012, 7:11 pm by SIMON KITURURU
    Nasikia sasa hivi waandamanaji TISA wametutoka!Mungu awalaze mahali pema PEPONI!

    Picha ya mmoja wapo.Source: Songea Yetu Blog
    Habari zaidi :
    SONGEA YETU BLOG
    [www.songeayetu.blogspot.com]
  • DHAMBI wakati wa KWARESMA bado ni TAMU nasikia!

    Posted: February 22, 2012, 7:00 pm by SIMON KITURURU
    Yasemekana,...
    .... kuna waogopao WATU katika kutofanya DHAMBI,........ kuliko waogopavyo MUNGU awaonao mpaka CHOBISI wajifungiako ili kula ngoma!:-(


    Swali:
    • Si yasemekana janja za WAUMINI ambao wanapenda kusifika  kwa BINADAMU wenzao janja ni kufanya dhambi makusudi kisirisiri ili wasidakwe tu hadharani?

    Ndio,...... kwa ambao wako katika KWARESMA,....... ....kumbukeni ni MUNGU wakuogopa na wala sio BINADAMU muhofiao vidole vyao HADHARANI kama nia bado nikuendeleza utamu wa DHAMBI!
    MBARIKIWE SANA WOTE!
    Na siku NJEMA WOTE!
    AMEN!



    Hebu Kwaya Kuu ya Mt. Cecilia warudie pini-Bwana Unaweza




    Au tubadili tu na kurudi uswahilini ili SADE arudie-Feel No Pain




    Au tu tena Vanessa Paradis azime kwa-Joe le taxi

  • Tatizo la KUJIFANANISHA kwa WATU,....

    Posted: February 21, 2012, 6:11 pm by SIMON KITURURU
    .... labda liko katika UKWELI,....... hakuna WATU wawili WAFANANAO kila KITU ukiwanyambulisha.
    Swali:
    • Unafikiri wadhaniwao wamefanana ni kweli wamefanana hata kama ni WALE  wafananishwao kimapacha?




    Ndio,....... ..hata wewe ni YUNIKI a.k.a unique,...... na UKO PEKE YAKO wa kiaina yako DUNIANI,....... na kwa hilo labda ni haki yako KURINGA!

    NI wazo tu hili MKUU!Nakutakia SIKU NJEMA!
    Hebu Franco Luambo Makiadi aanzishe tena kwa- Mario

    FRANCO akumbushie pia tena swala la UKIMWI kwa -Attention na SIDA
  • Kama UNATAKA!

    Posted: February 20, 2012, 12:07 pm by SIMON KITURURU

    Kwa kawaida kama UNATAKA,.........yasemekana UTAKACHO huwa unapata KIUTAKACHO,....... ila UPATACHO huwa  huja na KUONDOKA kwa  makali ya ULICHONACHO!:-(

    Swali:
    • Si unajua ULICHONACHO chaweza kupotea kwa wewe KUPATA kipya ambacho labda wala hata sio MUHIMU kwako kama ulichonacho sasa hivi?

    Ndio,....
    ....UTAKACHO na UKAKIPATA,...
    ..... kwa hilo la kukipata tu kitu kipya LABDA huondoa BIKIRA ya ambayo ulikuwa nayo manono kwa kufanya uustukie zaidi ubaya wa uliyonayo kuliko MAZURI ambayo kwa kawaida hutunza ULIYONAYO yaliyo MUHIMU sana hata kuliko USIYONAYO sasa HIVI.:-(
    Ni wazo tu hili MKUU!

    Hebu Junior Reid aanzishe tena kwa- One Blood





    Eric B. na Rakim wafanye tena matusi ya - Don't Sweat The Technique



    Halafu Dr Dre azime kwa- Let me RIDE




    Halafu sijui kwanini ila hebu tu COCOA TEA azime kabisaaa kwa-Hurry up and COME
  • Kuhusu UKWELI mtandaoni kikompyuta au simu na UKWELI kikweli USO kwa USO!

    Posted: February 20, 2012, 3:08 am by SIMON KITURURU
    Ki USO kwa USO,........labda UKWELI ni KWELI zaidi,........ ingawa yasemekana kuna ambao ukweli ki USO kwa USO hawapendi kwakuwa hata kikujamba kiuso kwa uso kuna mpaka HARUFU ambazo kisimu au katika intaneti PAFYUMU huwa hazistukiwi kirahisi,...
    ....kitu kifanyacho masupastaa wako wala hufikirii au hata hustukii WANAKUNYA tu mavi yanukayo aisee!:-(
    Swali:
    • AU?


    Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!
    JUMATATU NJEMA!!:-(




    Hebu Super Cat na Heavy D waanzishe upya kwa - Dem Don't Worry We



    SUPERCAT aendelee kwa -DON DADA



    Halafu SUPERCAT aongezee dozi kwa-DOLLY my BABY



    Hebu TENOR SAW aingilie kati kwa- Ring the ALARM


    Halafu tena ni SISTER NANCY ndio azime kwa -BAM BAM





    Sijui kwanini ila ngojea tu tena SUPER CAT amwage tena yetu ya -OLD VETERAN




  • Katika KUTONESHA kidonda!

    Posted: February 19, 2012, 12:28 pm by SIMON KITURURU
    Katika KUTONESHA,...
    .... labda MTONESHWAJI huweza FIKIRI  ni tamu  kama kajiandaa na MAUMIVU,....... na kama anajua kidonda  chake kimaumivu kinaumaje na  kuwa chake kidonda kwa ridhaa yake safari hii  na wakati huu kita kuwa ni kidude amacho  CHATONESHWA .:-(
    Swali:
    • Unabisha?

    Ndio,........ MASWALA mengine labda ni ya KUJIPANGA,........ kwa kuwa KABLA ya umivu MTU akijua UMIVU laja,..........labda MAUMIVU ni UTAMU.:-(
    Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!
    Jumapili NJEMA MKUU!
    Hebu turudi ghafla KENYA ili MOMBASA ROOTS warudie-DISCO CHAKACHA


    OFFSIDE TRICK wajaribishe- KIDUDU MTU





    Au tu hebu KATA MWANANGU KATA



    Au tu BUJU BANTON anyanyase baadhi ya watu  tena ki-Boom Bye Bye






    Nipo  BADO  mpaka  DUBROVNIK Lounge .....












































  • Katika kumbukumbu: ANAOGOPA DUDU LISILO NA MACHO!

    Posted: February 19, 2012, 8:41 am by SIMON KITURURU
    Unakumbuka haka kawimbo:


    Vua CHUPI!SITAKI.
    Lala CHINI!SITAKI.
    Naogopa DUDU lisilo na MACHOOOO!

    Swali:
    • Unakumbuka mpaka nyimbo HIZI Mheshimiwa?
    Ndio,....... nasikia HADHARANi kukiri tabu na ndiomaana HADHARANi nyimbo zikumbukwazo nni kama zile:

    ``NZU nzu NZU we mama NYUKILIA WEE.Toka mbali kutafuta UA zuri la CHAKULA!Wee MAMa NZU nzu nzu NYUKILIA weee.´´
    AU ule:

    ``KADODA unaumwa?Ndio NAUMWA.
    UGALI utakula?SILI naumwa.
    Mchicha utakula?SILI naumwa.
    MAZIWA JE?
    Looh ntakunywa lakini bado naumwa!Looh NTAKUNYWA lakini bado naumwa!Loooh ntakunywa lakini mbado NAUMWA!´´
    Swali:
    •  Unakumbuka?


    Ni katika KUMBUKUMBU tu MHESHIMIWA!
    JUMAPILI NJEMA MHESHIMIWA na wala USIKONDE!

    Hebu tupatiwe BWANA YESU NAKUPENDA  ghafla kwamsaada wa ROSE MHANDO

    Halafu tu ghafla tena SAIN ZAHOOR aingizie mwanana- ALLAH HOO



    Au tu Nusrat Fateh Ali Khan ndio azime kwa- Allah Hoo Allah Hoo





  • Salamu za JUMAMOSI!

    Posted: February 18, 2012, 5:59 pm by SIMON KITURURU



    Ndio,...
    ... I Don't MIND kama tu asemavyo Winston Soso

  • Kwa ATEGEMEAYE kidude cha MWENZIYE!

    Posted: February 18, 2012, 11:24 am by SIMON KITURURU
    TATIZO tu la KUTEGEMEA,....... ni kuwa nasikia  TEGEMEO kirahisi huweza kubakia TEGEMEO tu,........ kwa kuwa  UTEGEMEACHO hakitendeki  kwa uhakika WAKO kwa kuwa KUTEGEMEA huhusisha watu wengine ,...
    ... MTUZ nyingine kibinadamu  hakuna asilimia mia za kujua utegemeacho kwao wanaweza kutekeleza hasa kwa kuwa labda nao ni WATEGEMEAJI.:-(
    Swali:
    • AU?

    Na kwa kutegemea hasa kama una MALENGO fulani hata kama si yale ya kumtoa bikira mtu,....
    .... LENGO hupungua UTAMU hata kama LITATEKELEZEKA kama ufikiaji LENGO LAKO unategemea  MTU mwingine!:-(
    Swali:
    • AU?
    • Na si katika KUTEGEMEA kuna wengi hata hawafikirii halihalisi ya WAMTEGEMEAYE?
    • Si katika kutegemea kuna wengi katika YAO hutegemea MTU mwingine?

    Ni wazo tu hili nalo MKUU!

    Hebu BOB MALYA aingilie kati na kurudisha -Running Away




    Halafu huyuhuyu BOB MALYA aje na GURU katika kujaribu kuzima kwa-JOHN was


    Au tu azime huyuhuyu BOB Marley kwa-TIME will TELL


  • ki-ROHO mkunjufu!

    Posted: February 18, 2012, 10:55 am by SIMON KITURURU
    Kumamaye walahi,...... KIROHO MKUNJUFU ,....... ili ROHONI MWAKO kitu kiendelee kuwa KUNJUFU,......... labda USIFUATILIE lolote lililowahi kukugusa ROHONI,....... kwa kuwa lolote hata likufurahishalo UKILIFUATILIA unaweza kugundua siku nyingine lina CHUPI CHAFU.:-(


    Swali:
    • Unabisha?

    Kumamaye walahi,...... na UKIWA  unafuatilia ulichofanya ambacho ni KIKUNJUFU hata KISADAKA zako tu KANISANI,...
    ... unaweza kufikia hata kuacha  kutoa SADAKA kanisani.
    Swali:
    • Kwani unafikiri SADAKA zako KANISANI zinamtumikia MUNGU WAKO tu ?

    Ndio,....... kumamaye walahi,....... labda TENDA TU WEMA na UENDE ZAKO!:-(
    Ni wazo tu hili MHESHIMIWA na samahani kama kwako Kumamaye ni TUSI!:-(

    Hebu COCOA TEA aingilie na kurudisha-SHE LOVES ME NOW


    Cocoa Tea arudie - 18 And Over



    Barrington Levy akatizie tena denge nakudinya tena - Black Roses



    Halafu tena Barrington Levy ajaribu kuzima kwa - Murderer



    Ila COCOA TEA arudi na kuzima kwa - Rikers Island




    Bado nipo...






    
  • Kuhusu KISIMI cha NENO!

    Posted: February 18, 2012, 3:01 am by SIMON KITURURU
    NENO,........ labda si NENO TU kineno,......... na labda  ndio maana yasemekana MANENO MENGINE eti ni MATUSI,...... halafu  eti ndio maana MANENO mengine eti ni ,.........NENO la MUNGU.:-(


    Swali :
    • AU?


    Na eti katika BUSARA za NENO,........labda BUSARA si NENO ila BUSARA za NENO hutengenezwa na MSIKILIZAYE neno mwenye BUSARA,....... kwa kuwa eti ASIKILIZAYE neno na TAFSIRI ZAKE ndio hugeuza neno kuma kuwa tusi au uke wa NZIGE na kibusara kuamua kuwa hilo neno ni BUSARA au LA hasha.:-(

    Swali:
    • AU?
    • Si eti PUMBAVU kwa mwingine  kama ni neno tu ``PUMBAVU´´ labda kimzani HILO NENO ni sawasawa tu na neno``BUSARA´´ kibusara?

    Na labda,........KINENO kwenye sentensi yoyote ile,........UKINYAMBULISHA,....... labda kila sentensi yenye MANENO ina KISIMI  chake ambacho ni NENO,....... na labda hata ndilo NENO  lisababishalo ustukie SALA fulani ya MTU FULANI  kimaneno kuwa ni KALI  na kuwa kuna WENYE maneno ambayo KISALA kila siku unapendelea SALA ZAO  ZAIDI kuliko za WENGINE kimsikilizo wa KIBINADAMU kwa kuwa NENO lao LIMETULIA  kama tu ujuavyo nani KINENO  kwa kutongoza kizaidi kineno ni KUBWA KULIKO kuliko WENGINE kwa kuwa ana NENO tamu kineno.


    Na ni wazo tu hili MHESHIMIWA!
    Jumamosi NJEMA BINGWA na si KIMANENO tu!


    Hebu SOLOMON BURKE arudi tena ghafla kwa- Hold On I'm Coming





    Chic warudie ya -Le Freak

    Halafu BECK wazime kwa -LOSER
  • Leo HIIHII na DEKULA KAHANGA ndani ya STOCKHOLM!

    Posted: February 17, 2012, 11:49 pm by SIMON KITURURU











    Papaa MAKSI KENN  yule Muzee ya KALSTARD nilikuwa naye





    Ndani ya STOCKHOLM na DEKULA



    Hebu nimuachie DEKULA katika-MAKUMBELE




    Vumbi Dekula atekenye tu zaidi gitara katika-Sumu ya Mapenzi



    Sijui kwanini Dekula labda arudishe-Bamakonde




    Halafu tena Dekula azime kwa -MAYANGA

  • Haya MABINGWAAAAA!!!!

    Posted: February 16, 2012, 6:18 am by SIMON KITURURU
    Labda kumbuka tu UBINGWA ni kipimo kisichojitegemea,....
    ...... na udhaifu wa UBINGWA ni kwa kuwa MTU hawi bingwa NG'O kama hakuna wakujishindanisha naye.Swali:
    • Si umestukia husikii sana UBINGWA wa watu wafanyayo CHOONI hasa kwa kuwa watu wanamchezo wa kujifungia wakati wanafanikisha chooni?(tukiruka  wale ambao shughuli zao huacha harufu balaa kuliko wengine na waweza kustukia nani katoka msalani)

    Ndio,...
    .... KAMA weye BINGWA,....
    .....kama tu ilivyo ikiwa wewe ni wakwanza DARASANI,...
    ..... jua BILA wengine HAKUNA  ushindi,.......... kwa hiyo hata leo tujaribu WAJAMENI kukumbuka wengine hata KIUBWABWA!
    Ni hilo tu!
    Na ni wazo tu hili!
    SIKU NJEMA MHESHIMIWA!


    Hebu Kisombo aingilie kati kwa - Baila Morena





    Kaysha arudie- One love





    Sijui kwanini Kaysha aongezee- Something going on



    Halafu sijui kwanini hebu Solomon Burke azime tena kwa - Everybody Needs Somebody To Love (live)
  • Samaki ndani ya MAJI kwake MAJi ni kawaida na LABDA huwa HAFIKIRII maji!

    Posted: February 15, 2012, 6:18 am by SIMON KITURURU
    Na MTU yake yaliyogeuka KAWAIDA,....... yasemekana huwa HAYAMFIKIRISHI ,...... ingawa labda ndiyo hayo ya kawaida ambayo kwake ni MUHIMU zaidi.
    Swali:
    • AU?
    • Unakumbuka labda yamuhimu kwako ni yale usiyoyapa UMUHIMU kwa kuwa kwako unayachukulia kawaida?

    Ndio,....... la muhimu usipoangalia,...... huwa tu ni MUHIMU kwa kuwa umelipa UMUHIMU!:-(Swali:
    • Si unajua labda si mara zote ni kweli kuna umuhimu hata wa CHUPI kwa binadamu na labda ndio maana BINADAMU huzaliwa uchi a.k.a bila GWAGURO?

    Ndio,....... hili ni wazo tu MKUU!:-(SIKU NJEMA KIJEBA na MWANABIBI!
    Hebu Nyanyembe Jazz Band waingilie kati na kurudia-Rangi ya CHUNGWA



    Au tu turudi Angola ili David Zé sijui kwanini arudie-Undenge Uami

    Halafu Mulata africana wazime kwa -Oh africa

  • R.I.P Whitney Elizabeth Houston !

    Posted: February 12, 2012, 11:21 am by SIMON KITURURU
     (August 9, 1963 – February 11, 2012)

    Pumzika MDADA!


    Bado nakusikiliza katika nyimbo kama...I Wanna Dance With Somebody





    It's Not Right But It's Okay





    My Love Is Your Love




    I Will Always Love You


  • ILI UBENJUE KISIASA labda kihitajikacho ni kidude KIBENJUKACHO hata bila SIASA!:-(

    Posted: February 8, 2012, 6:57 am by SIMON KITURURU
    Na ili uwe MSOMI hata KISIASA,....... labda yahitajika kihitajikacho hasa KUSOMWA hata na wasio WANASIASA ,........ na labda ndio maana siku HIZI unajua WASOMI WENGI na USOMI wao MADUDU na hata chamuhimu kwako KIKISIMI  KISIASA hawajui labda waongeacho ni siasa na WANANCHI watakacho ni kutibu ni KLOROKWINI na tatizo ni MALARIA na wala sio SIASA!:-(

    Swali:
    • AU?

    Na kihitajiwacho KUBENJULIWA ,...
    ... unajua KIPO aisseee!:-(

    Swali:
    • Unabisha?
    Na KIBENJULIWACHO kipo aisee,....... hata kama ni KIMAWAZO tu aisee MHESHIMIWA na kiuheshimiwa siku hizi ni mpaka MHESHIMIWA awe ni yule JAMII inamtambua kama yeye ni MHESHIMIWA hata KIDINI na wala  huyo BINGWA kwa kuwa ni SHEKHE au ASKOFU basi hana jina katika heshima za JAMII zimtambuazo kama MWANASIASA kisa yeye ni ukiondoa DINI ana GOVI lenye UTOKO!:-(
    Swali:
    • SI labda CHA KIKWELI hata kile KISICHO BENJULIWA bado kipo na ni kweli ni CHA KIKWELI ingawa VYA UKWELI kwa WENGINE ni vile viishivyo MAWAZONI tu na havipigiki punyeto mMMmmmmkikweli kisa vyaishi tu kwa ambao vyakikweli vuko sebuleni huyo hata ki- MAWAZONI yake yako CHOONI hasa kutokana na WAHESHIMIWA yao YAKIHESHIMIWA ni NINI?



    Ndio,....... labda KIWAZWACHO,....... kwa baadhi wawezao hata kuwa ni wengi KULIKO AMBAO NI WACHACHE  TU  -tu hata kwenye wingi wa mavuzi pale ambako UNAAMINI  kihitajikacho ni KIKISIMI,...


    .... kiwazwacho ni MUHIMU ZAIDI hata kama sio kama umfikiavyo MUNGU wa WACHAWI afanikishaye kwa WACHAWI wanafanikiwa kuliko wewe katika yako ufikiriayo ni yapendwayo hata na PADRI poa hata kama ni yule mwenye nyege za waumini wake kisiri na kashawapa watoto wa watu MIMBA ambaye kisifa kakaa kisifa za KIMUNGUMUNGU wa asiye wa IBURAHIMU,...

    .... na si kama kile angalau hata kwa kuwa ni cha kikweli mpaka chaweza kutiwa kidole au kushikiliwa kama bamia,...
    ...KWA KUWA umuhimu LABDA kitafsiri ni tofauti kwa baadhi  ya  WATU,...

    ....ili UBENJUE labda unabenjua tu kwa MAWAZO na wala hata sio kwa kushikilia tonge KIKUFINYANGA kwa kuwa kuna watu kimawazo tu hilo ni TENDO na ndio maana labda twajua TANZANIA ni nchi TAJIRI hata KIMAWAZO TU ingawa wajanja ambao fulu ufunguo IKULU na maeneo ambako POCHI lako ndio HULOANISHA kiharage kisiasa za BONGO wasio na pesa wanazidi kutoonekana.:-(

    Swali:
    • Hivi ushawahi kustukia katika ufikiriayo ni ya BAADHI labda kwa mwingine WENGI hicho hicho ni  kingi na cha WENGI?

    Ndio,...... ili UBENJUE ,...... labda BENJUA kivyako kwakuwa cha siri ufikiriayo ni yako MOJA ,...... labda ni siri kweli yako moja ila kihitajikacho ili ujisikie VIZURI ki vile ambavyo unajisikia ukijamba huru wakati uko choooni,...... ni labda hata ambayo hutaki KUYABENJUA angalau ujisikie huru kuyaongelea kwa nini hutaki KUYABENJUA hadharani.


    Ni wazo tu hili na kutolielewa RUKSA!:-(

    Hebu tubadilishiwe kimuanzisho mpya kwa bezi gitaa katika kukumbushwa kiFANKYbezigitaaa aisee -THE name is BOOTSY baby



    Hebu Bootsy Collins ajaribu kulainisha kwa katika kigitaa ...Bass Solo




    Bootsy Collins aongezee SPESI BEZI na kama unaelewa FANKI MUZIKI na pia jinsi ya kupiga bezi gitaa utaelewa ni kwaniii...




    Snoop Dogg ajaribu kulainisha zaidi tena umwagia maji kwa ya NGULI huyuhuyu Bootsy Collins katika mpanuo-Undercover BROTHER
    Snoop Dogg, George Clinton na Bootsy Collins warudi kiaina ....





    Au tu hebu SNOOP dogg DOGGY azime akiwa tena na The Dogg Pound &  The Dramatics katika kidude- Doggy Dogg World




    Au tu Black STREET , Dr DRe na QUEEN Pen waweke nukta tena kwa- No Diggity

  • Kwa kuwa labda PROFESA wa KUKUPENDA KIMAPENZI kwako UNGEPENDELEA asiwe MALAYA!

    Posted: February 8, 2012, 3:14 am by SIMON KITURURU

    Ndio,........ yasemekana AKUPENDAYE ,....... moja ya sifa zake kwa wengi ni UCHOYO,....... hasa kama anyimwaye sio WEYE !
    Swali:
    • Si unajua lakini UCHOYO ni sifa mbaya KIAINA?
    • Na ugawaji si KIAINA kunawadaio ni ushahidi wa ROHO nzuri ya MTU apendaye WATU ingawa bado kuna watafsirio wagawaji kuwa ni MALAYA kutokana tu na wagawacho kitu?

    Ndio,...
    ....TAFSIRI balaa,...
    ... kwa kuwa zaweza kugeuza MGAWAJI kwa ROHO NZURI TU  kutafsirika kama MALAYA,...
    ... na MCHOYO kuwa ni MTU mwenye tabia MWANANA kwako hasa kama kiaina  AGAWACHO ni kipenzi chako na uchoyo wake kwa wengine kuhusiana na hicho KIDUDE  ndio kichocheo cha upendacho kukitafsiri kama TABIA NZURI!:-(
    Swali:
    • AU?
    • Hufikiri labda Profesa wa KUGAWA penzi - PHD yake huhitaji awe MALAYA kiaina kistaili za kugawa?

    Ndio,....... KIMPENZI,........labda wala UJUZI SANA hauhitajiki kwa kuwa USHAPENDA na ukitekenywa hata kidogo kama akudongolosaye unampenda unaweza ukastukia UNACHEKELEA kwa sana TU hata kama ni kwa KUJICHEKELESHA kwa kuwa wala haichekeshi sana.

    Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(


    The Mighty Sparrow aanzishe tena UPYA kwa- Good Morning Mr Walker




    Lloyd D Stiff ajaribu kubadili kwa - Bum bum fatty




    Lord Kitchener aingilie kati tena kwa - Drink Ah Rum


    Mighty Sparrow arudi kidogo na kuongelea kidude katika- Saltfish



    Halafu sijui kwanini Lord Kitchner azime tena kwa-Sugar BUM BUM






  • Tyson Gay

    Posted: February 8, 2012, 2:59 am by SIMON KITURURU
    Tyson Gay
  • Hata kama SURUALI ni ileile,...

    Posted: February 7, 2012, 9:58 pm by SIMON KITURURU
    ... MFUKO wa MBELE,....... ni tofauti na MFUKO wa NYUMA.
    Swali:
    • Kwani hata mtu abishe bado ukweli uko palepale MBELE ni tofauti na NYUMA?

    Ingawa labda,....... ukigeuka,........ kulikowahi kuwa nyuma,........ ndiko MBELE kisafari hata kama safari yenyewe ni ya KURUDI nyuma.
    Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!


    Hebu tukatizie GHANA tena ili Nana Boroo na Mugeez warudie- Bebia Soso




    Hapahapa GHANA ngojea tu tena Nana Boroo arudie- Ahayede


    Au tu hebu WINSTON SOSO azime kwa-I don't MIND


  • Jinsi ya KUPOPOA tunda!

    Posted: February 6, 2012, 8:45 am by SIMON KITURURU
    TUNDA  tamu,....... ila TUNDA labda ni TAMU kwa MPOPOAJI,....... kutokana na lilivyopopolewa TUNDA na MPOPOAJI!:-(
    Swali.
    • AU?


    Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!
    Jumatatu NJEMA aisee!

    Hebu tubugi dauni kwa kurudi tena HAITI ili Brother C atekenye-Tourbillon


    Hapahapa HAITI hebu Brother's Posse wadinye-Stayle




    Au tu T-MICKY aje laivu tena....

  • NYANI kwa kutumia KIOO au tu KAMERA ya SIMU siku hizi -LABDA huona KUNDULE aisee!:-(

    Posted: February 4, 2012, 8:21 am by SIMON KITURURU
    Ndio,........ labda msemo wa NYANI haoni KUNDULE,....... sio kweli kwa asilimia MIA!
    Swali:
    • Kwani unafikiri ni kweli kila udhanialo NANILII halistukii KISA anaonyeshadalili za kutolijali kama WEWE ULIJALIVYO maana yake ni kweli huyo NANILII wako HALISTUKII  hilo li kitu?


    Ndio,...
    .... nyani wa sikuhizi  hata kwa VIDEo na KAMERA za kwenye simu zao,...
    .... labda vizuri tu huona yao makundungu,........ ila wanakomalia kujibaraguza kuwa hawastukii kwa kuwa hata KIFISADI inalipa bado!:-(

    Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!


    Hebu KWANZA UNIT waturudishe Dar-es Salaam kwa -MSAFIRI



    Halafu sijui kwanini hebu turudi SENEGAL ili Daara-J warudie- Allah
  • Somo MOJA kutoka ZIMBABWE!

    Posted: February 4, 2012, 7:53 am by SIMON KITURURU
    Kila MTU anaweza kuwa MILIONEA,....... ingawa pamoja na UMILIONEA WAKE,......... MKATE na VITUMBUA bado vikawa GHALI na havinunuliki!:-(
    Swali:
    • Ushawahi kusikiliza MABABU hapa TANZANIA wakakuambia jinsi gani SHILINGI tano ya TANZANIA ilikuwa inatosha  kimshahara ?

    Ndio,........ labda UCHUMI ni kichaa,........ kwa kuwa waweza kukujaza MANOTI na kuondoa makali ya UTHAMANI wa  hayo ma- NGAWIRA PESA!


    Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!
    Jumamosi NJEMA MDAU!

    Hebu Kenyan Boys Choir waingilie kati kwa kudinya- Jambo Bwana






    Halafu tena Mighty Sparrow ajaribu kuzima kwa -Jean & Dinah-The Lizard-Melda-Drunk & Disorderly (Medley)



    Halafu The Roots ndio wazime kwa-Next Movement na Pussy Galore


  • Unafikiri WATANZANIA bado ni WABONGO miaka yote hii baada ya UHURU na BONGO zenyewe hazijafanya tuwazidi angalau KENYA angalau KIUCHUMI?

    Posted: February 3, 2012, 8:55 am by SIMON KITURURU
    BONGOOOOO!
    Na ukisikia tu jina hilo maarufu kwa WATANZANIA,....... wawezafikiri ni kweli UBONGO ni misingi katika kila wafanyalo WABONGO ni kistaili ya kutumia sana UBONGO

    Swali la KICHOKOZI:
    • Na kama tunatumia BONGO sana sie WABONGO,....
    ......mbona BONGO zenyewe hata katika kuchagua VIONGOZI wetu kuna watakaodai na kutoa ushahidi labda BONGO hazifanyi kazi?
    Ni wazo tu hili!

    Hebu tena Jaziel Brothers warudie-Ngeke Ndiphinde


    Au tu hebu Oliver Mtukudzi na Thomas Mapfumo warudie-Muchatuta






  • R.I.P Don Cornelius !:-(

    Posted: February 2, 2012, 3:06 am by SIMON KITURURU
    I loved SOUL TRAIN!Pumzika Donald Cortez "Don" Cornelius!
    
    (September 27, 1936 – February 1, 2012)



    


    Hebu aongee kidogo kikumbukumbu....



    Aendelee....



    Aendelee....


    Sijui yaliyokukuta lakini R.I.P DON....... hebu nikumbuke tena pia hiii.....


    Au tu James Brown aturudishe kwenye SOUL TRAIN...kwenye shoo yako

  • Kwenu Blog mpya ya Rural and Urban

    Posted: February 1, 2012, 11:10 am by SIMON KITURURU
    Kutembelea Libeneke hili JIPYA bofya hapa: [www.mrs-ca.blogspot.com]




    Heshima zenu Wadau wote!
    Nilikuwa napenda Kuwatambulisha Kwenu Blog mpya ya Rural and Urban ambayo itakuwa ikizungumzia maisha hayo zaidi ya mjini na Vijijini. Karibuni sana ukiona Link hii mpatie na mwengine. Natanguliza Shukrani zangu asanteni.

    -ESTER ULAYA.

    Baada ya tamutamu hebu Bassekou Kouyate na Ngoni Ba waendelee....



    Hebu tu tena na  Chuck Brown arudie tu na  -BUSTIN' LOOSE



  • HALAFU,....

    Posted: February 1, 2012, 10:40 am by SIMON KITURURU
    ....HALAFU hata KISENTENSI,.......ukianza na  HALAFU ili kunasa yasiyo na HALAFU,....... kuna wawezao kuona kuna zaidi  ya HALAFU katika uyaongeleayo yasiyo na HALAFU.:-(
    Swali:

    • AU?


    Ndio,...
    ...HALAFU,...
    .... si inawezekana yenye HALAFU hata uyasemayo au tu kuongeayo ni yale tu UYANUKUUYO kutoka kwa MTU mwingine bila kufikiria katika uhakika wake kuwa hata katika ya  Rais OBAMA hajikojolei kitandani kama BIBIE au BABUYE na ushahidi huna kama yale ya kuwa mafuta ya CHIPSI MAYAI ni yatokayo kwenye transfoma za UMEME mtaa wa jirani yana HALAFU ?

    HALAFU,........ udhaniacho nimeandika,........ labda kimaana kuna HALAFU Mkuu!:-(Ni wazo tu HILI Mheshimiwa!

    Hebu turudi HAITI ili Rasin Kita wakite....kijina la wimbo tubakie na ....-DI MOVE


  • Kimishemishe LABDA ni kweli ni KIMISHEMISHE tu- na labda KIMISHEMISHE ndio MPAKA ni siri TUKUFU mpaka za tuna MARAIS AFRIKA na hata.... mpaka MAREKANI ambao LABDA NAHISI najua unajua wamekaa KIMISHEMISHE tu!:-(

    Posted: February 1, 2012, 5:48 am by SIMON KITURURU
    Na KIMISHEMISHE,....
    .... yasemekana KUNA wapatao,.......hata kama YASEMEKANA kuna KATIKA  wapatao ambao WAPATACHO WATHAMINISHO ni mpaka  demu/KIJEBA  na wala sio OFISI tu, dengelua ,kashata, chipsi mayai,tako, sehemu za mbele za mwanamume rijali ,Ubunge  kisa wametoa mbele na nyuma, OFISI kwenye shirika fulani ILIPAYO SANA TU,  au hata tu BAMIA tu kwa MLENDA kisa CHUNGA hakuna.:-(
    Swali:
    • Si unajua ingawa MISHEMISHE kitafsiri FULANI  mtaani ni MISHENI TAUNI -lakini labda MISHEMISHE ni zaidi -na ndio maana siku hizi wajanja wana mpaka  na MAKANISA KIUJASIRIAMALI  ingawa YESU sio rafiki yao?
    • Si ikibidi KIMISHEMISHE - ndio maana WALIOBANANA kwenye DALADALA kule kwa kajamba nani kuna wastukiao KUNA wenye nafasi mbele kwa DEREVA bila sababu maalumu ?


    Ndio,........Labda BINADAMU WOTE si sawa,..... kwa kuwa,....:

    • Kwanini WENGINE  wafananao na SISI bado wako kama sio kama SISI na wao kidogo tu KWA SABABU HIZOHIZO hata UBUNGE majirani zako watawapigia kura wao ingawa wanajua wewe  kama MIMI labda ndio kitabia ni WATOTO MZURI  KIBANANGENGE kijijini hapo?
    • Unabisha?


    Ndio,....... kimishemishe wewe kama ni angalau ni mjukuu wa NYERERE  hata kwa kujisingizia pale karagwe iitwayo TANZANIA,....... labda wewe tayari sio MWENZETU kwa kuwa KIMISHEMISHE wewe hata kama hutaki waweza kuishi bila kazi na usife njaa na fulu kuongeleshwa na kama unapenda sehemu za siri za watu labda utagawiwa na hata wasio kupenda kisa jina,...
    ....eti kwa kuwa KUNA wathaminio wajuacho hata ufanye nini ,...WEWE  uko konekted hata bila kuhonga kama tu watoto wasio wa MORINGE SOKOINE Ze BONGO!:-(

    Swali:
    • Hivi unauhakika  KUNA MTANZANIA  sasa hivi hajawahi kuhonga angalau hata chumvi ili agawiwe MAPERA?

    Samahani,......mie nakiri nshawahi kuhonga kupatiwa mpaka kipenyo kidogo tu kiitwacho UKE,....... nimejirekebisha  LAKINI!:-(

    Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!
    JUMATANO NJEMA MHESHIMIWA!


    Hebu turudi tu nyuma ya jukwaa na wanamuziki wa TANZANIA halafu Nguli John Kitime aongee...


    Halafu sijui kwanini hebu DEKULA arudishe za enzi ndude katika-Mayanga





    Dekula Kahanga azime tena kwa-Bamakonde
    
    Nipo bado  Bandugu bapendwa!:-(



Blah blah blah

Fish cakes

Alas a fish cake.

Yet more fish cakes

Guess what ... yeah ... fish cakes.

The end of the fish cakes


Kenyan Blogs