SIMON KITURURU- MAWAZONI
-
Kuhusu UGONJWA wa MAHITAJI hata kama MAHITAJI yenyewe ni PIPI kwa mwenye hitaji hasaaa la WALI!
Posted: January 31, 2012, 10:14 pm by SIMON KITURURU
PIPI huweza kugeuzwa kuwa HITAJI,....... hata kwa ambaye hitaji lake la kweli kwa kihitajikacho ni NGUNA na MLENDA.Swali:- Unauhakika UNAHITAJI ufikiriacho kwako ni HITAJI?
- Si unakumbuka kuna mahitaji watu hujifunza tu kuyachukulia kuwa HITAJI yasemekana?
- Na UKIHITAJI UGALI na ukapata UGALI - si uleule UGALI yasemekana unakuwa MTAMU zaidi kitofauti?
Na katika GONJWA la HITAJI,........kuna WAHESHIMIWA hubaka kuku,...... kisa wamegeuza kitu HITAJI,....... na kihitaji fulani MTU akiamini ndilo HITAJI,........labda ndio maana WATU huwa na mahitaji tofauti hata kama wako kwenye CHAMOTO KILEKILE,...
..... na labda ndio maana katika ``CHAMOTO UNAKIONA KILEKILE kwenye MAISHA´´ yasemekana kuna wamkimbiliao YESU, MOHAMEDI, au hata MGANGA WA KIENYEJI hata kwenye hoja ambazo wangeweza kujitetea wenyewe bila NUKUU za MWALIMU NYERERE alisemanini kuhusu HILO kama tu jinsi ambavyo kuna wachaguao KUFA MOYO na kusubiria tu litokealo na LIWE!:-(
Ni wazo tu hili MHESHIMIWA na USIKONDE!
Hebu KANDA BONGOMAN arudi tena na kuanzisha upya kwa-JT
Halafu sijui kwanini ngojea KANDA BONGOMAN arudie-Wallow
Burning Spear aingilie ghafla nakukumbushia - Identity
Ili tu eti BURNING SPEAR apunguze spidi ya muwasho tena kwa-SHE IS MINE
Au tu Burning Spear alainishe mzimo wakati anazima kwa-Reggae Physician
-
HISIA ni HALIHALISI ingawa sio lazima HISIA ni UKWELI kiuhalihalisi wa KITU!
Posted: January 31, 2012, 10:04 pm by SIMON KITURURU
Na LABDA ukihisi ,....... wewe labda UMEHISI TU na hiyo kwako ni HALIHALISI,........ ingawa labda pia kuna umuhimu wa KUKUMBUKA,........ HISIA sio lazima ni UKWELI.
Ni wazo tu hili BINGWA!
Hebu tena SAM MANGWANA aingilie kati na kurudia mdinyo-AFRICA
Halafu Kanda BONGOMAN azime la njugu live kwakuanza na -Isambe
Blah blah blah
Fish cakes
Alas a fish cake.
Yet more fish cakes
Guess what ... yeah ... fish cakes.
The end of the fish cakes