SIMON KITURURU- MAWAZONI
-
JAMBO LISILOKUHUSU likikutia NYEGE!:-(
Posted: August 29, 2010, 7:25 pm by SIMON KITURURU
Ndio ,.........mara nyingi kimtiacho nyege mtu ni ambacho sio chake,...
.......na INGAWA hata kama KINUNIA SHUGHULI kina upele wenye usaha,...
....LABDA mwenye nyege KINUNACHO na KIKENUACHO kikitekenywa HATA KABLA YA SHUGHULI bado katika kupandisha JAZBA ya hamu ya utamu ya MHESHIMIWA KINUKA MKOJO ,....
....hicho KIDUDE hata kama hakita kata makali baada ya kuonja AU KUONJWA labda bado MHESHIMIWA mwenye nyege kama kina mgusa ANGALAU MAWAZONI ,....
....labda hicho KINAMHUSU.:-(
Swali:- Unafikiri UNAUHAKIKA kuna jambo lisilo KUHUSU ?
NI WAZO TU HILI Mheshimiwa BI Mkora!:-(
Hebu katika kubadili ndude tumsikilize mtoto wa NYERERE ambaye kwa jina ni ROSE -MARY NYERERE akijitetea kisomi....... na SAMAHANI kiswahili chake kinahitaji Kingereza katika baadhi ya pointi:-(
Au tu Kanda Bongo Man achokonoe kidude kwa -Cantique
Au tu Kanda Bongo Man arudishe mdinyo ajulikanao nao afrika kwa ndude-Wallow
Au tu Kanda Bongo Man aendelee kushusha uji mzito katika.......
-
KINUKACHO, na kisababishacho HARUFU mbaya ya sehemu za siri za MHESHIMIWA labda havina uhusiano wa moja KWA moja.:-(
Posted: August 29, 2010, 11:49 am by SIMON KITURURU
Swali:- Unadhani CHAKULA na MDOMO vina uhusiano wa MOJA KWA MOJA?
Turudi katika taralila:
Wakati umestukia MHESHIMIWA ananuka UCHI,...... labda ni kweli sio kosa lake ,....
.... kwa kuwa ni kweli PIA kuwa UHESHIMIWA na MHESHIMIWA mwenye uchi labda hawana uhusiano wa moja kwa moja KAMA ufikiriavyo,...... na labda UCHI wake MHESHIMIWA hauhitaji kuheshimiwa kama ufikiriavyo,....
....na labda UHESHIMIWA wa mheshimiwa MUUZA SURA ukimnusa sehemu zake za siri kabla HAJA JI SWAFI uhakikicho katika ufanyakazi bora wenye hari MPYA labda sio wa MHESHIMIWA kujiswafi bali ni jinsi tu vitu vingine kama vile BAKTERIA zisaidiazo hata MHESHIMIWA KUJAMBA zifanyavyo tu kazi zao SWAFI.:-(
SWALI:- Si unajua KINUKACHO labda hakina uhusiano wa moja kwamoja na kisababishacho UCHI unanuka?
Ndio,.......katika KUNUKA kuna bomba la DEMOKRASIA;......labda ndio maana yoyote yule mazingira yakilipa atanuka KIKWAPA vizuri tu.:-(
SAMAHANI kwa wazo lililopinda na ni ruksa kunitukana SHENZI kama sentensi ZANGU katika hoja hii zina tako kubwa.:(
Hebu NINA SIMONE abadili swala kwa kuachia ndude -I want a little sugar in my bowl
Nina adunge -FOUR Women
Nina Simone akojoe kisanii- MOOD Indigo
Nina Simone aachie- My baby just cares for me
Nina Simone amalizie kwa ndude-Feeling good
Au tu anyuke hii kitu bomba iitwayo -FEELINGS
Basi bwana labda tu naye Eric Clapton azime jazba TU kwa kitu-LAYLA
Blah blah blah
Fish cakes
Alas a fish cake.
Yet more fish cakes
Guess what ... yeah ... fish cakes.
The end of the fish cakes