SIMON KITURURU- MAWAZONI

  • KWA NINI ni MOYO na sio MATAKO au KINYEO kitumikacho KAMA alama ya UPENDO kwa wahusudu KUPENDA , au kwa leo hii kitu VALENTINE?:-(

    Posted: February 14, 2010, 11:30 am by SIMON KITURURU
    Kuna historia nyuma ya ALAMA ya WAPENDANAO ,...
    ...kuwa MOYO na sio UBONGO , matako,chuchu yenye makunyanzi  au tu bonge la  NYONYO.:-(

    Na histori ingekaa mkao tofauti haki ya nani kwa wapenda matako MAKALIO yangekuwa ndio alama ya PENDO kwa wapendanao.
    Na haki ya nani ni MAZOEA yafanyayo alama ya moyo ionekane nzuri kwa kuwa ukweli wenyewe MOYO wala hauna sura nzuri kwa kuwa mpenda NYONYO,  `` haki ya Mama Kisebengo tena! ´´ anajua CHUCHU nzuri kwa sura  CHUCHU ILIYONONA NI NZURI hata   kuliko ulivyo MOYO.




    Hebu lideku sura baya  la  MOYO...








    Ok hapa kama wewe unahusudu hesabu .Implicit heart curve(x2+y2-1)3-x2y3=0






    Hufikirii tako lingefaa tu  kama hili hapa chini kuwa alama ya VALENTINE?




    Image courtesy of rooshv.com


    Titi je?





    Ndio ,...
     ...HISTORI ya vitu husababisha MUOANO wa VITU ambavyo labda hata havina uhusiano  NA PIPI KIJITI AU LAWALAWA NYAMA ,...

    .....na NDIO  maana KINYEO ni tusi ukikisema kwa mkao fulani  wa kawaida KANISANI au MSIKITINI wa utamkavyo NANIHINO wakati NANIHIU   ya mshale LABDA  maana yake ni kifaa cha   uke na sio CHA KINYEO  kwa asiye basha.:-(.

    NI HILO TU na  NI WAZO TU, na  kifikiria sana nilichosema na kukwazika SHAURI ZAKO.:-(NIMEACHA!:-(



    Hebu tubadili banangenge  kwa  ELIS REGINA alete miziki inikunayo sana tu hasa Jumapili Asubuhi katika- Águas de Março



    Au tu ELIS REGINA anitamanishe kulalamikiwa na kimwana wa kibrazili kwa kunikumbusha nahusudu vimwana wakibrazili walalaikavyo katika-20 Anos Blues



    Au ngojea huyu huyu marehemu ELIS REGINA alete tu na-Madalena

  • Kwanini ni MOYO na sio MATAKO yatumikayo kama alama ya UPENDO kwa wahusudu Valentine?

    Posted: February 14, 2010, 11:13 am by SIMON KITURURU

    MMMMMMmmmmmmh!


    Labda ,....


    ....KUNA historia POTOFU  nyuma ya ALAMA ya WAPENDANAO ,...
    ...kuwa  NI MOYO na sio UBONGO , matako, chuchu yenye MAKUNYAZI   au tu bonge la PAJA au   NYONYOingawa kuna pendo lamtu linasisimuliwa na MATEGE ya MTU.:-(

    Na LABDA  historia ingekaa mkao tofauti, ``HAKI YA NANI TENA´´! kama  nani  NI NANIHII HUYO AMBAYE  kwa wapenda matako,...
    .....kwa husudisho KWAKE MAKALIO yangekuwa ndio alama ya PENDO kwa wapendanao kwa kuwa katika tako ndio kuna tundu la asili NA SIRI  ya PENDO LAKE  lijazialo ajuavyo KUPENDA .:-(



    Na haki ya nani ni MAZOEA yafanyayo alama ya MOYO  ionekane NI  nzuri kwa kuwa ukweli wenyewe MOYO wala hauna sura nzuri kwa kuwa mpenda NYONYO,  `` haki ya Mama Kisebengo tena! ´´ anajua CHUCHU nzuri , kwa sura  CHUCHU ILIYONONA NI NZURI hata   kuliko ulivyo....-  MOYO na mishipa yake.
    :-(




    Hebu lideku sura baya  la  MOYO...








    Ok hapa kama wewe unahusudu hesabu .Implicit heart curve(x2+y2-1)3-x2y3=0






    Hufikirii tako lingefaa tu  kama hili hapa chini kuwa alama ya VALENTINE?




    Image courtesy of rooshv.com


    Titi je?





    Ndio ,...
     ...HISTORI ya vitu husababisha MUOANO wa VITU ambavyo labda hata havina uhusiano  NA PIPI KIJITI au LAWALAWA NYAMA ,...

    .....na NDIO  maana KINYEO ni tusi ukikisema  AU KUKIONYESHA kwa mkao fulani  AMBAO NI  wa kawaida KANISANI au MSIKITINI wa utamkavyo NANIHINO wakati NANIHIU   ya mshale KWENYE KABRASHA LA alama ya MSHALE  LABDA  maana yake ni  UPENDO katika VALENTINE   na pendo  SIO kifaa cha  uke na sio KILE  kifaa CHA KINYEO   kwa wapendanao waaminio ALAMA  FULANI INAMAANISHA UNAPENDWA  na UNAPENDA hata kama sio kibasha au KIJALUO kwa kuwa ni alama ya MOYO na moyo ushaaminishwa ni zaidi ya UBONGO.:-(.



    Swali:
    • LAKINI si unajua KUWA pendo lako halina alama?
    • Unafikiri MOYO wako  KWAKUWA UNADUNDA ni muhimu sana hata  KINYEO chako kikiziba wakati MOYOwako  UNADUNDA?
    • Unafikiri moyo wako unajua leo ni JUMAPILI na ulikunya kama mwili wako ulijaza choo?

    NI HILO TU na  NI WAZO TU, na  ukifikiria sana nilichosema na kukwazika SHAURI ZAKO.:-(....miye NIMEACHA!:-(



    Kwa LEO ,...........Hepi......->

    ....DAY..... Mkuu!



    Hebu tubadili banangenge  kwa  ELIS REGINA alete miziki inikunayo sana tu hasa Jumapili Asubuhi katika- Águas de Março



    Au tu ELIS REGINA anitamanishe kulalamikiwa na kimwana wa kibrazili kwa kunikumbusha nahusudu vimwana wakibrazili walalaikavyo katika-20 Anos Blues



    Au ngojea huyu huyu marehemu ELIS REGINA alete tu na-Madalena








    Nipo na sijasahau PAPA MANENTO, Papa Irioko , Dada Neema  a.k.a NEY, DADA NTE Kaka DAVIE , Kaka KHERI, KIKI muzee wa MWANZA,.....,....,........ nipo bado na sijatenga swala la KImtengo au ...:-(

    NIpo.....


















Blah blah blah

Fish cakes

Alas a fish cake.

Yet more fish cakes

Guess what ... yeah ... fish cakes.

The end of the fish cakes


Kenyan Blogs