SIMON KITURURU- MAWAZONI
-
ILI UBENJUE KISIASA labda kihitajikacho ni kidude KIBENJUKACHO hata bila SIASA!:-(
Posted: February 8, 2012, 6:57 am by SIMON KITURURU
Na ili uwe MSOMI hata KISIASA,....... labda yahitajika kihitajikacho hasa KUSOMWA hata na wasio WANASIASA ,........ na labda ndio maana siku HIZI unajua WASOMI WENGI na USOMI wao MADUDU na hata chamuhimu kwako KIKISIMI KISIASA hawajui labda waongeacho ni siasa na WANANCHI watakacho ni kutibu ni KLOROKWINI na tatizo ni MALARIA na wala sio SIASA!:-(
Swali:- AU?
Na kihitajiwacho KUBENJULIWA ,...
... unajua KIPO aisseee!:-(
Swali:- Unabisha?
Swali:- SI labda CHA KIKWELI hata kile KISICHO BENJULIWA bado kipo na ni kweli ni CHA KIKWELI ingawa VYA UKWELI kwa WENGINE ni vile viishivyo MAWAZONI tu na havipigiki punyeto mMMmmmmkikweli kisa vyaishi tu kwa ambao vyakikweli vuko sebuleni huyo hata ki- MAWAZONI yake yako CHOONI hasa kutokana na WAHESHIMIWA yao YAKIHESHIMIWA ni NINI?
Ndio,....... labda KIWAZWACHO,....... kwa baadhi wawezao hata kuwa ni wengi KULIKO AMBAO NI WACHACHE TU -tu hata kwenye wingi wa mavuzi pale ambako UNAAMINI kihitajikacho ni KIKISIMI,...
.... kiwazwacho ni MUHIMU ZAIDI hata kama sio kama umfikiavyo MUNGU wa WACHAWI afanikishaye kwa WACHAWI wanafanikiwa kuliko wewe katika yako ufikiriayo ni yapendwayo hata na PADRI poa hata kama ni yule mwenye nyege za waumini wake kisiri na kashawapa watoto wa watu MIMBA ambaye kisifa kakaa kisifa za KIMUNGUMUNGU wa asiye wa IBURAHIMU,...
.... na si kama kile angalau hata kwa kuwa ni cha kikweli mpaka chaweza kutiwa kidole au kushikiliwa kama bamia,...
...KWA KUWA umuhimu LABDA kitafsiri ni tofauti kwa baadhi ya WATU,...
....ili UBENJUE labda unabenjua tu kwa MAWAZO na wala hata sio kwa kushikilia tonge KIKUFINYANGA kwa kuwa kuna watu kimawazo tu hilo ni TENDO na ndio maana labda twajua TANZANIA ni nchi TAJIRI hata KIMAWAZO TU ingawa wajanja ambao fulu ufunguo IKULU na maeneo ambako POCHI lako ndio HULOANISHA kiharage kisiasa za BONGO wasio na pesa wanazidi kutoonekana.:-(
Swali:- Hivi ushawahi kustukia katika ufikiriayo ni ya BAADHI labda kwa mwingine WENGI hicho hicho ni kingi na cha WENGI?
Ndio,...... ili UBENJUE ,...... labda BENJUA kivyako kwakuwa cha siri ufikiriayo ni yako MOJA ,...... labda ni siri kweli yako moja ila kihitajikacho ili ujisikie VIZURI ki vile ambavyo unajisikia ukijamba huru wakati uko choooni,...... ni labda hata ambayo hutaki KUYABENJUA angalau ujisikie huru kuyaongelea kwa nini hutaki KUYABENJUA hadharani.
Ni wazo tu hili na kutolielewa RUKSA!:-(
Hebu tubadilishiwe kimuanzisho mpya kwa bezi gitaa katika kukumbushwa kiFANKYbezigitaaa aisee -THE name is BOOTSY baby
Hebu Bootsy Collins ajaribu kulainisha kwa katika kigitaa ...Bass Solo
Bootsy Collins aongezee SPESI BEZI na kama unaelewa FANKI MUZIKI na pia jinsi ya kupiga bezi gitaa utaelewa ni kwaniii...
Snoop Dogg ajaribu kulainisha zaidi tena umwagia maji kwa ya NGULI huyuhuyu Bootsy Collins katika mpanuo-Undercover BROTHER
Snoop Dogg, George Clinton na Bootsy Collins warudi kiaina ....
Au tu hebu SNOOP dogg DOGGY azime akiwa tena na The Dogg Pound & The Dramatics katika kidude- Doggy Dogg World
Au tu Black STREET , Dr DRe na QUEEN Pen waweke nukta tena kwa- No Diggity
Blah blah blah
Fish cakes
Alas a fish cake.
Yet more fish cakes
Guess what ... yeah ... fish cakes.
The end of the fish cakes